HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 19, 2015

KIPANYA AKIHOJIWA NA BBC: VIBONZO NA SIASA TANZANIA

Kuna mahojianomtangazaji wa BBC-Dia ya Dunia Zuhura Yunus na Masoud Kipanya kuhusu mchango wa Vibonzo kwenye uchaguzi. 

Masoudkipanya-vibonzo Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad