HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 19, 2015

HAFLA YA KUFUNGA KONGAMANO LA 29 LA SAYANSI LILILOANDALIWA NA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donald Mmbando akizungumza na wanasayansi wa magonjwa ya binadamu wakati wa hafla ya kufunga kongamano la 29 la Kisayansi lililoandaliwa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu ili kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti za tiba katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
 (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad