HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 28, 2015

HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015

Familia mbili zanusurika kifo Pemba. Vigogo zaidi wafyeka ubunge.Pitia dondoo za hahbari za magazeti hapa;
Dr.Magufuli anusa harufu ya ikulu, Waangalizi wapongeza mchakato wa uchaguzi. Pata habari zaidi katika magazeti ya leo; https://youtu.be/DkLFy4SEpgY
ZEC yaagiza vyombo vya dola vimkamate Maalim Seif, UKAWA wasema hatukubali matokeo ya urais;  https://youtu.be/lBrQxhGgSY8

Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;  https://youtu.be/QzI6R0KthsQ
Pata udondozii wa kina wa habari za kisiasa zilizotawala katika magazeti ya leo Octoba 28.2015 hapa Simu.tv;https://youtu.be/sPtSTgqtfdA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad