Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na mgeni wake Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kujitambulisha leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]



No comments:
Post a Comment