HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 10, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA MITAA YA JIJI LA DAR LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa wanasa  Askari Polisi wakiwa kwenye majukum  yao ya kazi  kama walivyonaswa katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo.
 Jeshi la Polisi kila kukicha lianawakumbusha madereva Bodaboda kuvaa kofia ngumu(Helementi) lakini wamekuwa wangumu kutii nakujiamulia kuendesha Pikipiki Bila kuvaa kofia ngumu kichwani Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yawanasa Jijini la Dar es Salaa leo.

 Pamoja  na kuwepo kibao kinachoonesha wasipaki Bodaboda Katika kituo cha Mabasi cha Benzi mwisho Barabara ya Morogoro  lakini Moyo yao umekuwa migumu kabisa kutiii kibao wanachokiona kila kukicha kama walivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika kituo hicho Jijini la Dar es Salaam.
Tupisheni  tunawahisha   mizigo kwa mhusika 
 
Kwaraha zangu nakaajuu bila wasiwasi kabisaaa (Picha na Emmanuel Massaka)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad