Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015. Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.
No comments:
Post a Comment