Baba na Mwana walinaswa na Kamera yetu wakijiongeza katika ujuzi wao kwa kufanya kazi sanjari kwa pamoja Ofisini kwao kama waonekanavyo katika Tawsira hapo juu... na #Kamerayamtaakwamtaa.
Binti ambaye ni Fundi wa Pili baada ya Baba akiwa na Mashine ya kulanda Mbao katika ubora wake..
Hapo Binti yetu alionekana akinyanyukia kwa Vidole vya Miguuni kumaliza kazi ya Watu ili yasije kutokea mengine bureeee...




No comments:
Post a Comment