HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 20, 2015

NEC YATOA RATIBA YA KUREJESHA FOMU ZA WANAOWANIA URAIS WA TANZANIA

TUME ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, leo Agosti 20, 2015, imetoa ratiba ya muda ambao wagombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watarejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hiyo, Ijumaa Agosti 21, 2015. Mgombea atakayefungua pazia ni Mh. Fahmi Dovutwa wa UPDP, akifuatiwa na Mh. Edward Lowassa wa CHADEMA, anayewakilishwa vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA na kisha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli naye atafuatia. Ratiba kamili hiyo hapo chini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad