Katika katiza katiza ya Libeneke lako pendwa kutafuta ulaji Mtaani ikakumbana na sekeseke la Dogo huyu ambaye Jina lake limehifadhiwa akifukuzana na vifaranga vya Bata pamoja na Mama Bata kwenye moja ya Chochoro korofi sana hukoo changanyikeni..Picha na #Kamerayamtaakwamtaablog.
Hapo Dogo akiwa amenyanyua jiwe kiganjani kutaka kuwa Dhuru Bata hao ambao haikujulikana walicho mkosea Dogo huyo..
Bata nae yumo kujibu mashambulizi kwani alikuwa sio mnyonge wa kupelekeshwa pelekeshwa kirahisi..
Bata wakaona sasa huyu Dogo anaonekana ni Mwezi Mchanga huyu wakawa wanatimua mbio huku Dogo akiwa bado nyuma yao...
Leo mbona watamkoma hawa Bata mpaka watajuta kukaa nae Mtaa Mmoja..






No comments:
Post a Comment