Kamera ya mtaa kwa mtaa blog na mionekano mbalimbali ya baadhi ya vyombo vya usafiri katika mitaa mbalimbali kama gari hiyo hapo juu tax yenye nambari za usajili (T 813 AHU) likiwa limekorofisha hapo hali sogei kwenda mbele wala nyuma..
gari hiyo ikifanyiwa uchunguzi hapo...
Dala dala nayo ikiwa na tatizo kwenye upande wa umeme yaani betrii lake kuisha nguvu hivyo nalo haliendi mbele wala nyuma mpaka lifanyiwe upekepeke hapo...
"Bajaji nayo imeleta zengwe daa! ngoja tuifanyie ukorofi kidogo hapaa"
No comments:
Post a Comment