Meneja wa kinywaji kipya cha Kill Twist, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho cha kill Twist kinachozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).Uzinduzi huo ulifanyika katika ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Kill Twist uliofanyika katika ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam leo.
Warembo wa kinywaji kipya cha Kill Twist wakishangilia kinywaji hicho wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam.
Warembo wa kinywaji kipya cha Kill Twist wakionyesha kinywaji hicho wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam.
Mdau Victor akikata kiu la kinywaji hicho kipya.
Wadau wakipata kilaji.
No comments:
Post a Comment