Katika pita pita zake Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, mapema leo imeinasa taswira hii ya Mdau akiwajibika katika kilimo cha umwagiliaji kwenye moja ya Bustani zilizopo eneo la Mchicha, Tabata jijini Dar. Kazi ikiendelea
No comments:
Post a Comment