
"|Umesema sifuri sabaaa......"
"Tano nnee eeeee ..... ahaa Tano Sitaaa eehee.."
"Mbona sikuelewi elewi aumtandao unasumbua nini eehhh....duu ....Sikusikii Kabisaaa."
Huyu nae akiwasiliana vyema na mtu anee ongea naye kwa simu yake ya mkononi kama aonekanavyo hapo ili asikike vizuri lazima simu yake iwe mdomoni....
Hapa zamu yake kusikiliza sasa...
Masai nae akiagiza sime kupitia simu ya kiganjani..
Hapo sasa amani ipo kwa masai baada ya majibu mazuri kutoka kwa mtu alie kuwa akimpatia maagizo kuongea nae kwa kuridhika bira kifurushi kukata wala nini ..... masai umetishaa..
No comments:
Post a Comment