Naibu Katibu wa wizara ya uchukuzi Monica Mwamnyange akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa Baraza la watumiaji wa huduma za usarifishaji wa Anga hapa nchini mara baada ya kutoka kwenye mkutano uliofanyika katika Hotel ya New Africa jijini Dar es Salaam leo.
Katibu mtendaji wa Baraza la watumiaji wa usafiri wa anga hapa nchini Hamza Johari akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana watumiaji wa usafiri wa anga kutokuweka vitu vya thamani kubwa kwenye mabegi yao wakati wa kusafiri katika mkutano uliofanyika katika Hotel ya New Africa jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Baraza la watumiaji wa usafiri wa anga hapa nchini.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.)
No comments:
Post a Comment