HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 16, 2015

MBWEMBWEZZ ZA KIPANDWA MITAA YA SAMOLA...

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipo kuwa katika doria yake leo ilikatiza mitaa ya samola na kunasua baadhi ya taswirazz za washkaji wakitia baadhi ya mbwembwe na vipandwa vyao kwenye bara bara hiyo ya samola jijini mbeya....Picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa mmoja kati ya watu watiaa mbwembwezz akionesha ujuzi wa kuendesha kipandwa chake kwa kutumia kiganja chake cha mkono.
yani lainiii kama unanawa hivi....
mwengine nae akionesha ujuzi wa kuendesha kipandwa chake huku wowowo lake likiwa kwenye uskanii..
umeone hiyoo yani makalio ndio yameshikilia uskani hapo...
Hawa ndio watia mbwembwezz kitaa cha samola jijini mbeya...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad