HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA SHEIKH MKUU, MUFTI ISSA SHAABAI BIN SIMBA, MKOANI SHINYANGA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 16, 2015

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA SHEIKH MKUU, MUFTI ISSA SHAABAI BIN SIMBA, MKOANI SHINYANGA LEO


Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa (wa pili kulia) akimpa pole Sheikh Mkuu wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum wakati alipowasili Nyumbani kwa Marehemu Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa (wa pili kulia) akisalimiana na Kaadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi wakati alipowasili Nyumbani kwa Marehemu Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Sehemu ya Masheikh wakiwa kwenye Msiba wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mh. Edward Lowassa (kushoto) na Mh. Fredrick Sumaye, wakizungumza jambo wakati walipokutana kwenye Msiba wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, leo Juni 16, 2015, nyumbani kwake Majengo, Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimpa pole Mjane wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,Bi. Makaja Kombola Simba nyumbani kwake Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimfariji Mjane wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,Bi. Makaja Kombola Simba nyumbani kwake Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimsikiliza mmona wa vijana wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Mbaraka Simba wakati wakielekea kwenye Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Mazishi ya Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Mbaraka Simba wakati kwenye Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Umati wa Waumini wa Dini ya Kiislam na wale wasio waislam wakiwa kwenye Mazishi ya Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Mtoto wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Suleiman Simba akiweka ugongo kwenye Kaburi la Baba yake, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Kaadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waumini wa Kiislam wakiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Alhaj Rajab Hassan Kiungiza akisoma Dua kumuombea Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, mara baada ya mashishi yake leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa.
Baadhi ya waumini wa Kiislam wa Mkoa wa Shinyanga, Wakisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa.
Mh. Lowassa akiondoka Makaburini.
"Kwaheriniiiii........ndugu zangu."

1 comment:

  1. kampeni zimeanza mapema. picha nyingi za mgombea mmoja wa urais kuliko mgombea mwengine. picha za kiongozi wa Nchi, Mh. Rais chache, picha za wagombea wengine chache na picha za msiba wenyewe chache kuliko za mgombea mmoja. uandishi huu ni mashaka na umekaa kimahaba

    ReplyDelete

Post Bottom Ad