Dokta bajaji akiwa kilingeni kwake katika harakati ya kurekebisha vipandwa aina ya bajaji mitaa ya ilemi mbeya huku vikiwa vimepangwa kwa msururu yani hapo inatibiwa moja baada ya nyingine.picha na mtaa kwa mtaa blog.
mambo ya sevisi yakiendelea hapo..



No comments:
Post a Comment