Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipo kuwa ikiangaza mtaani leo ikabahatika kunasa taswira mbalimbali za mama huyu anae jishughulisha na kazi ya ulinzi mtaani kwetu akiwa katika harakati za kukihudumia kiatu chake aina ya (buti) kuajili ya kujiandaa kwenda kazini kama ilivyo ada kwake.picha na mtaa kwa mtaa blog.
apa ni mwendo wa brash tuu kitu ng'ari ng'ariiiii.
baada ya kumaliza kusop sop buti, mguu unaingizwa kwenye buti sasa tayari kwa kazi.
No comments:
Post a Comment