HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 2, 2015

KUSOMA KIPAJI.

 Kusoma kuelewa na kukesha ni mbwebwe kweli naamini kupitia madogo hawa ambao ni wa nafunzi wa shule ya msingi na hapa ni mara baada ya kutoka shuleni na kujumuika baada ya mchezo kuanza kujisomea kwa staili ya aina yake mtaani kwetu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
 hapa dogo (kushoto) akichungulia kiana jinsi mwenzake anavyo mwaga wino.
 dogo kulia akiwa bize na kitabu huku mwenzie kushoto akiruka ruka bila utulivu kuashilia kuwa yeye ni mpenzi wa michezo tuu na sio kitabuu.
kaludi tena kusoma,, hawa ndio marafiki wasio faa hawa huponza wenzao katika swala zima la kujisomea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad