Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipo chomoza kwenye kiota kimoja cha marasta wawili(majina yao kapuni) walio kuwa wakijibusti na kitu cha msuba huku wakipiga msosi wa nguvu, walipo zungumza na mtaa kwa mtaa blog waliseme msuba unapo uvuta huwa unafanya mwili unyong'onyee kwani unapo tumia kitu cha msuba lazima uwe na nguvu za kutosha.picha na mtaa kwa mtaa blog.
si mchezo hawa jamaa wanautumia vyemaa.
"furu ki bwebwe yaniii."
wakisha maliza hapo sasa unajua ni nini kinacho fuata kwenye mitaa???






No comments:
Post a Comment