Mzee wa mtaa kwa mtaa alipo kuwa akisuburi chapati kutoka kwa mama Felix Mama machachali kwa uandaaji wa vitafunwa mtaa wa jirani akabahatika kunasa baadhi ya taswira za mama huyo akiandaa vitafunwa kilingeni kwake.picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa mama Felix akizungumza jambo na mteja wake (hayupo pichani) huku akiendelea na makaangizoo ya chapati hapo kilingeni kwake.
Sunday, May 3, 2015

Home
Unlabelled
MAMA FELIX AKIANDAA VITAFUNWA KILINGENI KWAKE.
MAMA FELIX AKIANDAA VITAFUNWA KILINGENI KWAKE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment