Libeneke la mtaa kwa mtaa mchana wa leo lilipo wasili katika moja ya jumba mashuhuri jijini mbeya na kukuta muda muafaka wa maakuli ukiwa ndio upo tayari kwa wafanyakazi hao wa jumba hilo mashuhuri jijini humo, na pichani ni bwabwazz likiandaliwa katika jungu kuu na mdau afaamikae kwa jina la Uso wa Mbuzi.picha na mtaa kwa mtaa blog.
"Hakuna cha kuota maziwa wala kukosa mtoto hapa bwabwazz kwenye sufuria ndo unanoga kweli kweli na ndio mpango mzima".
Kamera mani wa libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog, Bw Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo kati kati nae alibahatika kujumuika na wafanya kazi wa jumba hilo mashuhuri katika swala zima la kuhakikisha meno yana cheza na mwili unaongezeka.







No comments:
Post a Comment