HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 14, 2015

MAMBO YA BODA BODA HAYA YANAZIDI KUCHANGAMSHA MITAA.

 Yani mitaa inachangamshwa kila siku na hizi bodaboda kwa maonyesho ya madereva wapodaboda jinsi ambavyo wanapiga mieleka ya hapa na pale leo mdau huyo pichani ambaye ni mfanya biashara anaijishughulisha na biashala za mazao ya nafaka kama mahindi,maharage na mchele ajikuta akiwa nyuma ghafra malabaada ya kipandwa hicho kumshinda utaalamu wa kukimudu na kuangusha mzigo wake chini.picha na Mtaa Kwa Mtaa Blog.
        msamalia akijisogeza kwa lengo la kutoa msaada kwa mdau huyo.
                                             msaada ukiendelea kwa msamalia.
                                              "aaaaaa mtaa kwa mtaa weweeeee"
   boda boda naludia tena kwakua tuna wapenda tujitahidi kuwa wastaharabu pindi tuwapo mtaani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad