Mji umebanana, barabara nyembamba (utadhani hakuna barabara), majengo yapo shaghalabaghala, bado mafuriko yakija ni balaa, hakuna sheria na mipangilio miji (75% umejengwa holela pia hakuna juhudi za kudhibiti hali hiyo), kodi zetu zinakusanywa lakini hao viongozi kuanzia juu kabisa, waziri mkuu (huyu alisema si lazima barabara inyooke, yaani hata ramani ikisema inyooshwe uamuzi wa kunyoosha au kupindisha ni wao), waziri ardhi mipango mini, meya wa jiji, meya wa manispaa zote tatu, wabunge na wengineo wote lakini hakuna hata mmoja anayefikiri kurekebisha hali hii na kuzuia ujenzi holela. Mwisho wa siku jiji hili litakuwa limejengwa kwa uholela kwa asilimia 100.

ReplyDeleteUtadhsni jiji la maaana kumbe linanuka. Barabara chache vurugu tupu chafu. Pfuuuuu@@!!!
ReplyDeletepoorly planned city what an havoc hamna at a room for expansion kweli tz ni nchi ya wtu wasiioona mbali tusubire wakenya waje kutuajiri tu sasa.
ReplyDelete