Gari hili lililo kuwa limebeba ndizi lime piga mweleka baada ya deleva wa gari hilo kushindwa utaalamu kidogo wa kufeliwa breki na kupelekea mpaka kuliswaga moja kwa moja pembezoni mwa barabara itokayo Suma kuelekea kijikji kidogo cha Nditu wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Deleva wa gari hilo kushoto alie kaa akiwa na tingo wake kuajili ya kuomba msaada baada ya kupakua mzigo wote chini.
mchuma huo ukiwa ume egama upande, hakuna mtu aliye dhurika.
Tuesday, January 27, 2015

Home
Unlabelled
MWELEKA WA GARI LA NDIZI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA BARABARA ITOKAYO SUMA KUELEKEA NDITU.
MWELEKA WA GARI LA NDIZI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA BARABARA ITOKAYO SUMA KUELEKEA NDITU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment