HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 16, 2015

Mtambo wa kuzalisha umeme Mgololo Mkoani Iringa wawaka moto mchana huu

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad