huu ni uwanja wa michezo na hapa wakiwa wamejipanga kuajili ya kupeana namba za mtanange wao wa kishule shule.
dogo nae anajitanua na kidole chake wala hana nongwa na mtuu.
mikoba ya kisalufeti na mifagio haikosi shuleni pale kwa wanafunzi kama hawa walivyo naswa na kamera yetu.
No comments:
Post a Comment