
Imekuwa ni kama desturi ya kawaida katika maeneo mengi hapa mjini kujiamulia kuhifadhi taka sehemu yeyote ile wanayojisikia.hili si jukumu la Manispaa peke yake bali ni letu sote jamaniii.mtu anapojiamulia kuweka taka sehemu kama hivi sio kwamba anadhalilisha jiji pekee,hata yeye pia anadhalilika sababu ni mkazi wa jiji hili.hivyo jamani tuache huu mpango wa kutupa hovyo taka na tujitahidi kuwa wasafi.
No comments:
Post a Comment