Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith S.Mahenge (wa tatu kutoka kushoto) akipewa maelezo na Meneja Mazingira Bwana Thomas Morris kuhusu mitambo ya kuteketeza taka zenye sumu zinazozalishwa katika mgodi wa North Mara. Wa pili kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Bwana Gary Chapman.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith S.Mahenge akipewa maelezo ni jinsi gani wanavyoweza kusafisha Maji kwa Mitambo ya kisasa katika Mgodi wa North Mara.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith
S.Mahenge akipewa maelezo na Mkuu wa Wilaya ya Tarime alipowasili
ofisini kwake kabla ya kuanza ziara ya kikazi katika Mgodi wa North Mara
ulioko Wilaya ya Tarime.
Meneja
wa Mazingira Mgodi wa North Mara Bwana Thomas Morris akitoa Maelezo kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mhe. Dkt. Binillith
S.Mahenge (hayupo pichani) alipotembelea Mgodi wa North Mara kukagua
uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira katika maeneo ya migodi nchini.
No comments:
Post a Comment