Jengo kuu la Chuo cha Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo
hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla
kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na
Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa
Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni uwekaji
wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi kazi rasmi
hivi karibuni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali na Naibu
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dododma Profesa Shaaban Mlacha (mbele) na
Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (kulia) alipofanya ziara
ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo cha Sayansi ya
Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma
Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni
uwekaji wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi
kazi rasmi hivi karibuni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Naibu Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo
hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla
kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na
Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa
Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni uwekaji
wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi kazi rasmi
hivi karibuni.
Sehemu ya majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu ya UDOM
Sehemu ya barabara ya lami ya kutoka na kuelekea vyuo mbalimbali vya UDOM
Mhe. Baraka Konisaga, ambaye ni Mjumbe wa Kikao cha kazi cha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini akitoa rais binafsi muda mfupi kabla Rais Jakaya Mrisho Kikwete hajafunga rasmi kikao hicho cha siku tatu kilichojumuisha wajumbe zaidi ya 900 kuzungumzia sekta ya elimu ili kupanga mikakati na kutatua changamoto zinazoikabili, katuika ukumbi wa Chimwaga katika Cho Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunga rasmi Kikao cha kazi cha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini katuika ukumbi wa Chimwaga katika Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment