Mkuu wa Mkoa wa Tabota Fatuma Mwasa akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika maonesho ya wiki ya vijana yanayofanyika kitaifa
mkoani humo, aliyesimama ni Meneja wa Mfuko Mkoa wa Tabora.
Vijana wakiwa kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakipima afya zao. Katika
maonesho hayo Mfuko unaendesha zoezi la upimaji afya bure.
Mtaalam wa macho Antony Janken akimpima macho Rehema Majaliwa ambapo huduma ya
macho pia inatolewa bandani hapo.
Kijana John Masanja akipata vipimo na ushauri wa kuepukana na maradhi yasiyoambukiza
bandani hapo.
No comments:
Post a Comment