HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 4, 2014

MPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO MISS GRAND INTERNATIONAL 2014

HAYA HAYA WADAU TUMPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO KUBWA DUNIANI, MISS GRAND INTERNATIONAL 2014, LINALOFANYIKA BANGKOK, THAILAND, MWISHO WA KUPIGA KURA NI TAREHE 5 OCTOBER 2014 (3;00 PM BANGKOK TIME), UNAWEZA KUPIGA MARA NYINGI UWEZAVYO, MUWEZESHE LORRAINE KUINGIA KATIKA FINALISTS 15 BORA JINSI YA KUPIGA KURA BONYEZA LINK HIYO HAPA CHINI NA WEKA ALAMA YA VYEMA KWENYE JINA LA TANZANIA LORRAINE MARRIOT

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad