Pichani kinana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja,akipigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji mara baada ya kukutwa na sare za Jeshi la Wananchi akiwa amezitinga na kupiga nazo misele mitaani na ilihali yeye raia wa kawaida kabisa. Kijana huyo alikutana na adhabu hiyo kali kutoka kwa mwanajeshi mmoja baada ya kumbaini kuwa kijana huyo sio Askari halisi ya jeshi la Tanzania wakati alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusiana na swala zima la kijeshi,na hapo ndipo akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia adhabu hiyo,tukio hilo limetokea hivi karibuni maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.Picha na Kamanda wa Matukio Blog.
Jamaa akiendelea kupigwa mbizi dimbini.
No comments:
Post a Comment