HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 14, 2014

UBUNIFU KATIKA BIASHARA JIJINI ARUSHA,VYOO VYA KULIPIA VIPO NDANI YA MADUKA

 Katika pita pita za Mnasa Matukio wa Libeneke hili la Mtaa kwa Mtaa Blog,alibahatika kuingia maeneo ya katikati ya jiji la Arusha na kukutana na Taswira hizi zinazoonyesha mabango ya matangazo ya vyoo vya kulipia vinavyoonyesha ndani ya Maduka ya bidhaa mbali mbali.kiukweli huu ni ubunifu mzuri katika biashara,kwani mteja atakaeingia kujisaidia anaweza kukutana na kitu kingine atakachokipenda na kukinunua.au mnaonaje wadau?


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad