HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 8, 2014

TBL YATANGAZA ZAWADI ZA SAFARI POOL TAIFA 2014

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akimkabidhi kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga zawadi zitakazo kabidhiwa kwa washindi wa fainali ya mashindino ya Safari National Pool Competition 2014 zinazotarajiwa kufanyika mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habariu (hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi na  maandalizi ya fainali za mashindino ya Safari National Pool Competition 2014 zinazotarajiwa kufanyika mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad