HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 8, 2014

NHIF YATETA NA WASANII BASATA


2Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo. 3Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo. 4 Washiriki wa semina hiyo wakijisomea majarida waliyogawiwa kwenye semina hiyo 5 6Meneja wa Mfukwa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopherse Mapunda akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo, kutoka kushoto ni Bona Masenge Afisa Sanaa BASATA, Frora Mgonja Afisa Utawala BASATA na Deogratius Nchimbi Afisa Sheria BASATA wakishiriki katika semina hiyo. 7Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo 8Baadhi ya wasanii wakiandika mambo muhimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika semina hiyo 9Msanii aliyeng'ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki 'Mkoloni'akichangia mada wakwati alipokuwa akiuliza swali katika semina hiyo.
10Baadi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo. 12Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo. 13Mmoja wa washiriki wa sanaa ya filamu akiuliza swali. 15Baadhi ya maofisa kutoka mfuko wa LAPF ambao nao walitoa mada katika semina hiyo 16 17Super Nyamwela mnenguaji mahiri kutoka bendi ya Exta Bongo kulia akiwa katika semina hiyo na washiriki wengine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad