Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (wa kwanza kulia)
akipitia taarifa ya mapendekezo ya mtandao wa wanawake na Katiba
Tanzania wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye
Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa
mada kuhusiana na suala la kijinsia katika Katiba, wakati wa Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye
Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba
wakiimba kwa furaha wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014
kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma.(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).
No comments:
Post a Comment