Wakuu wa makampuni tofauti pamoja na wakurugenzi wa vitengo mbali
mbali vya kampuni ya Airtel Tanzania wameendelea kuonyesha kuguswa kwa
kushiriki kutimiza shinikizo toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Artel
Tanzania alilolitoa wiki moja iliyopita kuhamasisha mapambano dhidi ya
Fistula kwa akina mama kwa kuchangisha pesa zitakazotumika kusaidia
shughuli mbalimbali wakati wa matibabu kwa wale waliopatwa na tatizo
hilo
Angalia video hizi kuona kila mmoja alivyofanya mara baada ya kuguswa
na kujitoa kuchangia.Adriana Lyamba-
Mkurugenzi Huduma kwa wateja Airtel Tanzania.
Levi Nyakundi-
Mkurugenzi Masoko Airtel Tanzania.
Wednesday, September 3, 2014
Home
Unlabelled
MABOSS WA AIRTEL TANZANIA WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA
MABOSS WA AIRTEL TANZANIA WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment