Leo katika pita pita zangu za kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog halilali njaa,nilikatiza maeneo Mikocheni Chama na kukutana na hizi gari zikikingiana kifua kwamba nani ampishe mwenzake katika njia ambayo inaruhusu gari moja tu kwa wakati huo.hapo ndipo nikajiuliza kwamba kwani hii njia imeruhusiwa kupitisha Daladala au ndio yale mambo ya ujuaji tu??.
Monday, September 29, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment