Katika pita pita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,leo imekatiza katika barabara ya India usoni kabisa mwa jengo la Haidary Plaza na kukutana na hali hii kama ionekanavyo pichani.hapa ni katikati kabisa ya mji wa Dar es Salaam ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Je ni kweli kwamba hili halionekani??tunaomba kusikia maoni yenu Wadau.
Tuesday, September 23, 2014
Home
Unlabelled
HAPA NI KATIKATI YA JIJI LA DAR KUKO HIVI,HUPO PEMBENI KUKOJE??
HAPA NI KATIKATI YA JIJI LA DAR KUKO HIVI,HUPO PEMBENI KUKOJE??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hatuna ma Diwani, wala meya wala wakurugenzi. Tumefika mwisho wa awamu. Kila mmoja yuko busy kujitengenezea.
ReplyDeleteAIBU, ndio uso wa Tanzania. Hadi aje mgeni kutoka nje, au Rais aje aone na kuwaelekeza wahusika. Bila hivyo hatuna utamaduni wa kufanya kazi bila kushurutishwa....... jamani AIBU