HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 27, 2014

BARABARA YA UHURU JIJINI DAR

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog leo inaangazia katika Barabara ya Mtaa wa Uhuru jijini Dar es Salaam,ambapo kiukweli barabara hiyo haiendani kabisa na hadhi ya jina husika na ni kero kubwa kwa watumiaji barabara hiyo. PICHA NA PHILEMON SOLOMO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad