HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 25, 2014

WADAU JOHSTONE NA NOELA WALIVYO MEREMETA

Johstone Frank Maunda akimvisha pete mkewe kipenzi Noela Julian Kaigwa katika ibada takatifu iliyofanyika Agosti 23, 2014 katika Kanisa la MT. Albano Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Coco Beach.
 Johstone Frank Maunda na mkewe Noela Julian Kaigwa wakifuatilia mahubiri ya ndoa yao.
 Noela Julian Kaigwa akirembwa Salon
Noela Julian Kaigwa akimtengeneza msimamizi wake Tumaini Magdalena Libaba walipokuwa Salon. Photography by: MD Digital Company; +255 755 373999, +255 717002303.























No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad