HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 16, 2014

TANGAZO LA MSIBA

FAMILIA YA GEORGE JOHNSON MPONDELA INATANGAZA KUWA MSIBA WA MZEE WAO MPENDWA GEORGE JOHNSON MPONDELA ALIYEFARIKI JUZI TAREHE 15/6/2014 KWA UGONJWA WA MOYO KATIKA  HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI UTAKUWA NYUMBANI KWAKE KIGAMBONI MJI MWEMA.

 MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 19/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI  MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0658870106/0713508861

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad