Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es salaam
Veronica Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielezea umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa habari na NBS katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya wat na makazi.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na wataalamu katika semina hiyo.
Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akiwa katika semina hiyo pamoja na maafisa wengine wa Sensa ya watu na makazi
Baadhi ya waandishi wa habari na maafisa wa sensa wakiwa katika semina hiyo
Mwandishi wa TBC Elisha Elia akizungumza na Mwandishi Mwanafunzi wa TBC Bi Laura Pylvanainen wakati wa semina hiyo.
Wednesday, June 11, 2014

Home
Unlabelled
NBS YAENDESHA SEMINA KUHUSU CHAPISHO LA TAARIFA ZA MSINGI ZA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII NA KIUCHUMI KATIKA HOTELI YA PEACOCK
NBS YAENDESHA SEMINA KUHUSU CHAPISHO LA TAARIFA ZA MSINGI ZA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII NA KIUCHUMI KATIKA HOTELI YA PEACOCK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment