HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 16, 2014

MTANANGE WA NGUVU: BUNGE VS NMB-DODOMA(MPIRA WA MIGUU NA MPIRA WA PETE)

Makombe yapotayari kwaajili ya Kukabidhiwa kwa Mshindi Upande wa Mpira wa pete na Mpira wa Miguu kati ya Wafanyakazi wa NMB DODOMA na timu za Bunge za Pete na Mpira wa MiguuWachezaji wa akabiba wa timu ya NMB-Dodoma.Mlinda mlango wa timu ya NMB akiwa kazini.Mtanange Unaendelea,Mh:Mwigulu Nchemba akitafuta mpira.
Mh:Mashishanga akivalishwa Medal ya dhahabu akiwa ameongoza kikosi cha Mpira wa Pete cha Bunge kuifunga NMB.Mh"Halima Mdee akivalisha Medali ya dhahabu.Kombe hilo limetua kwa timu ya BUnge mpira wa Pete.The Dream Team ya Bunge wakiwa wamebeba ndoo yao.Washindi wa pili upande wa Mpira wa Miguu wakiwa wamevalishwa Medali za Shaba.

BOFYA READ MORE HAPO CHINI KUSHOTO KUJIFAIDIA MAPICHAZZZ
Mh:Mwigulu Nchemba akivalishwa Medali.Kepteni/Nahodha wa timu ya NMB akipokea kome hilo baada ya Kuifunga timu ya Bunge Magoli 4 kwa 0.Mwanamziki wa Kizazi Kipya Mwana FA akiteta Jambo na Mh:Mwigulu Nchemba Naibu waziri wa Fedha wakati wa shamrashamra Uwanja wa Jamhuri hapa Dodoma.Mwana FA,Mwigulu Nchemba na Ruge Mtahaba wakipata Ukodak mara baada ya Mchezo kumalizika.
Mh:Lukuvi akiwa benchi la Ufundi la timu ya Bunge.Timu ya NMB wakisherekea Ubingwa na Kombe lao.Hatari langoni mwa timu ya NMB,Golikipa anadaka mpira Ule.
 Usalama wa Afya pia ulikuwepo kuhakikisha Huduma ya Kwanza inapatikana kwa Majeruhi,.Majeruhi wa timu ya NMB akipewa huduma ya Kwanza.UgaliSehemu ya Mashabiki wa timu zote mbili.Kocha wa timu ya Bunge akitoa maelekezo kwa wachezaji wake,Wachezaji wa akiba na Mashabiki wa timu ya NMB wakishangilia Goli la Nne lililofungwa na Mchezaji namba 9 Mgongoni(Hayupo pichani).Kocha wa timu ya NMB akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mpira wa pete wakiwa wanapumzika baada ya Kuibamiza timu ya Wanawake ya NMB Magoli 46 kwa 6.
Shamrashamra zikahamia Viwanja wa Dodoma Hotel kutuliza Uchovu wa Michezo mikali iliyofanyika jioni viwanja vya Jamhuri.
Mh:Aieshi akipata Juice.Sherehe ndogo ya Kuimarisha Mahusiano kati ya NMB na Wateja wake Ikiendelea Viwanja vya Dodoma hotel.
Picha/Maelezoz na Sanga Jr.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad