HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 19, 2014

MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) WAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Watu waliofika katika banda la Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakimsikiliza Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko huo, Rahim Mwanga wakati wa Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Ofisa Mafuzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Lyimo akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliohudhuria Monesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo.
Elimu kuhusu mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji ilitolewa kwa watu waliofika katika banda la UTT.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Rahim Mwanga akitoa ufafanuzi wa huduma wanazotoa wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma inayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. 
Nadhani umeelewa.......Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Rahim Mwanga akitoa ufafanuzi kwa watu waliofika katika banda lao.
Mwanachama mpya akijiandikisha kujiunga na Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), mara baada ya kuridhishwa na faida za kujiunga na mfuko huo.
Banda la Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji likiwa limezungukwa na watu waliokuwa wanataka kujiunga na mfuko huo.
Wengi walijitokeza katika banda laMfuko wa Dhamana ya Uwekezaji kwa ajili ya kujiunga na mfuko huo.
Ofisa Masoko Mwandamizi na Uhusiano Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Martha Mashiku akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad