HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 9, 2014

MADEREVA WA DALADALA WAGOMA KUSAFIRISHA ABIRIA KUTOKA STAND KUU MPAKA UYOLE JIJINI MBEYA, PIC UP ZATUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA.

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala .Picha na Fadhil Atick,Mtaa kwa Mtaa,Mbeya.
Abiria jijini Mbeya wakiwa ndani ya lori kuendelea na safari zao.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa jijini Mbeya mchana wa leo.
Wengine walikuwa wakigombea kwenye Bajaj.
Hali ilikuwa tete.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad