Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa
Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu
kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk Cyril
Chami (katikati) Innocent Melleck ,Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya
ya Moshi vijijini Moris Makoi na viongozi wengine wa CCM wakipunga
mkono kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa shughuli ya kumsimika
naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk Cyril
Chami akiteta jambo na Innocent Melleck wakati wa shughuli ya
kumsimika kuwa naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini.
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano
huo uliofanyika viwanja vya ghalani Himo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda
wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Dk Cyril Chami akimvisha vazi
maalumu Innocent Melleckak wakati akisimikwa kuwa Naibu kamanda wa
UVCCM wa wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda
wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini Dk Cyril Chami akimkabidhi Innocent Melleckak ngao na mkuki
kuashiria kukabidhiwa majukumu ya kuwa Naibu kamanda wa UVCCM wa
wilaya hiyo
Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini ,Innocent Melleck akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa
chipukizi muda mfupi baada ya kusimikwa kuwa naibu kamanda wa UVCCM
wialaya ya Moshi vijijini.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda
wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini Dk Cyril Chami akimuapisha Innocent Melleckak kuwa
Naibu kamanda wa UVCCM wa wilaya hiyo
Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi
vijijini Innocent Melleck akizungumza mara baada ya kusimikwa kushika
nafasi hiyo.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment