HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 16, 2014

HIKI KIGOGO KIMEFIKAJE JUU YA NYAYA ZA HIVI??

Katika pita pita zangu za kila siku maeneo ya katikati ya Jiji la Dar,nilikatiza Mtaa wa Samora na kukutana na kitu hiki ambacho kilinishangaza sana kuona kipande cha mti kiko juu ya Nyaya kama ionekanavyo pichani hapa.nikajiuliza maswali kibao bila majibu huku kubwa likini,kimefikaje fikaje pale?? na ikitokea siku kikachoropoka na kumkuta mtu kichwani itakuwaje???Wadau mnalisemeaje hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad