Mchezaji wa timu ya Ifiti, Kavin Mwandisi (kulia)
akichuana na mchezaji wa timu ya Matema (FC), Hasani Njaa wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Ifinit ilishinda mabao 5-4.
Mchezaji wa timu ya Tegeta City, Amiry Ally (kushoto)
akichuana na mchezaji wa timu ya Group six, Semi James wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Tegeta ilishinda mabao 4-2.
Mchezaji wa Timu ya Hot Shot, Kali Ongara (kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Ifinit, Kavin Mwandisi, wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam Ifinit ilishinda mabao 8-4.
Mchezaji wa timu ya Group six, Said Namanje (kulia)
akichuana na mchezaji wa timu ya Matema (FC), Hasani Njaa wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Matema ilishinda magoli 2-1.
Mchezaji wa Timu ya Group six, Zhu Ke, akichuana na mchezaji wa timu ya Matema (FC) wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam.
Mchezaji wa Timu ya Group six, Khamis Fongo akiwaada wachezaji wa Timu ya Hot Shot wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam.
Mchezaji wa timu ya Matema (FC), Hasani Njaa, (kushoto) akipambana na mchezaji wa timu ya Tegeta City, Shaban Kibanuka wakati wa fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanyika Dar es Salaam jana.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kinondoni, Innocent Mlay (kulia) akimkabidhi kombe Godlisten Anderson, kapteni wa Infinity Communications baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Castle Lager Perfect Six baada ya kuwafunga Matemaa kwa magoli 5-1.

No comments:
Post a Comment